Wednesday, April 2, 2014

TASWIRA MBALIMBLI ZA ZIARA YA JK NCHINI UINGEREZA


Rais Kikwete akisalimiana na Mwana wa Malkia Duke of York Prince Andrew alipotembelea kasri ya Malkia ya Buckingham Palace jijini London
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwana wa Malkia Duke of York Prince Edward alipotembelea kasri ya Malkia ya Buckingham Palace jijini London

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mwana wa Malkia Duke of York Prince Andrew alipotembelea kasri ya Malkia ya Buckingham Palace jijini London


















No comments: