Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya kaskazini,Salvator Rweyemamu (kulia) akimkabidhi mkataba wa kukabidhiana majengo ya TBL yaliyopo Moshi, kwa Katibu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Dayosisi Kanda ya Kaskazini, Julius Mosi, katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki Moshi, mkoani Kilimanjaro. Majengo hayo yatakayotumika kwa ajili ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano
SMMUCO) yalikuwa ya Kiwanda cha Bia cha Kibo kilichonunuliwa na TBL.
Katibu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Kanda ya Kaskazini, Julius Mosi akikabidhi mkataba kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano (SMMUCO) Prof,Arnod Temu kwa ajili ya
kutmiwa na chuo hicho chini ya dayosisi hiyo iliyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki Moshi, mkoani Kilimanjaro.Awali majengo hayo yalikuwa ya Kiwanda cha
Bia cha Kibo kilichonunuliwa na TBL.
Baadhi ya majengo yaliyokabidhiwa
Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya kaskazini,Salvator Rweyemamu, AKIELEZEA SABABAU ZA TBL kukabidhi majengo hayo kwa chuo hicho.
Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano (SMMUCO) Prof,Arnod Temu akitoa shukurani kwa TBL.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria sherehe hiyo.
Viongozi wa TBL, Dayosisi na Chuo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Ndani ya moja ya majengo hayo.
Sehemu ya ndani ya moja ya majengo hayo.
Viongozi wa TBL pamoja na viongozi wa chuo hicho wakitembelea maeneo
mbalimbali ya chuo hicho kujionea hali ilivyo kwa sasa.PICHA NA MDAU DICKSON BUSAGAGA
No comments:
Post a Comment