Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka akitoa mada kwenye semina iliyoandaliwa na TAMWA kwa ajili ya wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma juu ya kuingiza vipengele ambavyo vitasaidia kutokomeza ukatilii wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wakati wa uandishi wa Katiba mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Margareth Sita akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anna Kilango Malecela akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa semina ya Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Margareth Sita akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
Mjumbe wa Bunge la Katiba ambaye pia Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kulia) akifungua semina ya Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma uliokuwa ukijadiliana juu ya umuhimu wa kuwekwa kwa umri wa mtoto katika Katiba mpya na umri unatakiwa kuolewa na kuoa na masuala ya uzazi salama. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe AngelahKairuki.

Makamu Chansela wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki Profesa Esther Mwaikambo akitoa mada katika semina kuhusu umuhimu wa haki za uzazi salama kuingizwa katika Katiba mpya . Semina hiyo kwa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba imeandaliwa na TAMWA.
Mjumbe wa Bunge la Katiba ambaye pia Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Dkt Pindi Chana akitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa semina ya Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
Makamu Chansela wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki Profesa Esther Mwaikambo akitoa mada katika semina kuhusu umuhimu wa haki za uzazi salama kuingizwa katika Katiba mpya . Semina hiyo kwa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba imeandaliwa na TAMWA.
Baadhi ya wanawake ambao ni Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia mada mbalimbali zilikuwa zinawaelimisha juu ya umuhimu wa kuzingatia masuala ya usawa wa kijinsia , haki za uzazi salama wakati wa kuandika Katiba mpya. Semina hiyo ambayo imefanyika leo mjini Dodoma imeandaliwa na TAMWA.

No comments:
Post a Comment