Saturday, March 15, 2014

MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA LEO

 Kikundi cha ngoma ya asili ya Kigogo kikitoa burudani kabla yakuanza matembezi kwaajili ya kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya CHIBELELA wilayani BAHI
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa tayari kuongoza maandamano.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
 Watatu kulia, ni Katibu wa CCM Tawi la Chibelela Bahi, Tito Lusinde akiwa pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejipanga kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
 Wakaazi wa kata ya Chibelela wilayani Bahi nao wakiwa tayari kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.akipanda Mti wakati wa matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.matembezi hao yalifanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi
 Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa akipanda Mti wakati wa matembezi hao.
 Ujumbe
 Wanafuzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakiwa wamesimama na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
 Kushoto. Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini. yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi
 Matembezi yakiendelea
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia baada ya  matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini. yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi
 Mwakilishi kutoka Water Aid, Herbat Kashililah akisisitiza jambo.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wakati akitoa hotuba yake.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wakati akitoa hotuba yake.
 Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa wakicheza mziki aina ya kwaito mara baada ya kumalizika kwa matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi  Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice Mkwawa. PICHA NA PHILEMON SOLOMON  DODOMA

No comments: