Wednesday, March 5, 2014

KIOTA KIPYA CHA KISASA: HOTEL VICTORIA, SHANGANI WEST MTWARA

HOTEL VICTORIA ILIYOPO SHANGANI WEST MTWARA ILIFUNGULIWA RASMI TAREHE 14 FEB 2014 SIKU YA WAPENDANAO NA KUALIKA WATU ZAIDI YA 200. 
UNAWEZA KUPATA MAELEZO ZAIDI KWA 
http://www.hotelvictoria.me/ 
VYUMBA SAFI CHAKULA SAFI NA UKARIMU WA HALI YA JUU. HOTEL NAMBA MOJA MTWARA KWA BEI YA KAWAIDA.
 Mapokezi 
 Wageni wa awali
 Chef Issa na wafanyakazi wake wakitembeza wageni hotelini hapo
 Picha ya pamoja 
 Uani
 Chumbani
 Chumba mwanana
Maliwato swafi

No comments: