Saturday, March 8, 2014

CRDB Lumumba, Yaadhimisha Siku ya Wanawake Kiaina: Yatoa Zawadi, na Kufanya Usafi Hospitali ya Mnazi Mmoja.

 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, wakisali sala ya pamoja kabla ya kuanza shughuli zao za kibenki
 Naibu Mkurugenzi Mkuu  wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay mwenye suti, katika picha ya pamoja na menejmenti, wafanyakazi na wateja wa benki ya CRDB, Tawi la Lumumba, Mkurugenzi huyo alipotembelea tawi hilo leo asubuhi.

 Deputy MD wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay mwenye suti, katika picha ya pamoja  wafanyakazi na wateja wa benki ya CRDB, Tawi la Lumumba, Mkurugenzi huyo alipotembelea tawi hilo leo asubuhi
Deputy Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akizungumza na Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Lumumba, John Almasi, Mkurugenzi huyo alipotembelea tawi hilo leo asubuhi.

 Wateja Walifurahije?. Ilikuwa ni mwendo wa vinyaji baridi
 Mkurungenzi wa CRDB Bank, Tawi la Lumumba, John Almasi, akishiriki zoezi la usafi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani.
  Mkurungenzi wa CRDB Bank, Tawi la Lumumba, John Almasi, akishiriki zoezi la usafi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani.
 Mkurungenzi wa CRDB Bank, Tawi la Lumumba, John Almasi, akikabidhi moja ya  chandarua kwa Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mnazi Moja, Dr.Kwaw, kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani. 
 Mkurungenzi wa CRDB Bank Tawi la Lumumba, John Almasi, akitoa pole kwa mgonjwa aliyelazwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani
Mkurungenzi wa CRDB Bank Tawi la Lumumba, John Almasi, akitoa pole kwa mgonjwa aliyelazwa Hospitali ya Mnazi Mmoja katika kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani..

No comments: