Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono
baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya
mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani
iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo
asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka
37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa
wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey
Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi
na Fedha,Bi Zakia Meghji wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa
kiasi kikubwa jijini humo.Rais Kikwete ambaye ndiye mgeni rasmi wa
sherehe hizo atahutubia leo mchana kwenye maadhimisho ya sherehe hizo
zitakazofanyika katika uwanja wa Sokoine mkoani humo.
Rais
Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto akiwa sambamba na baadhi ya watoto,kuelekea kwenye bustani
iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni
sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa
chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye
pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu
wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia
Meghji wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa kiasi kikubwa jijini
humo.
Baadhi ya vijana wakereketwa na chama cha CCM wakiwa na mabango yao.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete
(pilia kulia) akiwa tayari kuongoza wanachana na Wananchi (hawapo
pichani) kushiriki matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto,kuelekea kwenye
bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini
Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya
kusherehekea miaka 37
kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM,Bwa.Phillip Mangula,wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa
Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey
Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi
na Fedha,Bi Zakia Meghji pamoja na Waziri Ofisi ya Rais asiye na Wizara
maalum,Prof Mark Mwandosya wakiwa tayai kuyaanza matembezi hayo.
Rais
Kikwete akizungumza na baadhi ya watoto waliokuwa miongoni mwa watoto
waliojitokeza kushiriki matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja
wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha
maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakishiriki kuchukua matukio
yaliyokuwa yakijiri kwenye matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja
vya Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya
uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele
cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na
viongozi wa chama hicho ngazi za juu,pichani akisalimiana na Katibu
Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana na anaeshuhudia pichani kati ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM,Mh.Phillip Mangula,tayari kwa kuongoza
matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye
bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini
Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37
kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akifurahi jambo na Waziri Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum,Prof Mark Mwandosya
Ndugu Kinana akizunguza jambo na Mwigulu Nchemba kabla ya kuanza matembezi ya mshikamano.
Msafara wa Rais ukiwasili sehemu ya kuanza matembezi ya mshikamano.
Mambo ya matembezi ya mshikamani yakiwa yameiva
Rais Kikwete pia aliungana na Watoto katika matembezi hayo.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Kikwete akiwasili kwenye bustani za uwanja wa Sokoine kufikia kilele cha matembezi ya mshikamano
Sehemu ya Wananchi na wakereketwa wanachama mbalimbali wa wa CC Mwakiwa wamekusanyika kwa pamoja tayari kumsikiliza Rais Kikwete mara baada ya kumaliza matembezi hayo yalifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Baada ya kumaliza matembezi ya mshikamano viongozi wa juu wa CCM,wakisiliza utaratibu wa kuadhimisha sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho.
Rais Kikwete akizungumza machache mara baada ya kumaliza matembezi ya mshikamano,Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo zitakazoanza mapema leo mchana ndani ya uwanja wa Sokoine,jijin Mbeya.
No comments:
Post a Comment