Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli
akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud
Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika
lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA).
kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki akizungumza jambo wakati
kamati ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea na kuzungumza na
watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh Bulaya,Mh Kiwhelu
na Mh Chombo wakifuatilia maelezo toka kwa mhifadhi mkuu wa hifadhi ya
taifa ya Arusha(hayupo pichani).
Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza
katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya
ardhi,maliasili na mazingira.
Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira Mh ,Ester Bulaya
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Humud Abdi Jumaa
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Suzan Kiwanga
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Grace Kiwhelu
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Mohd Amour
Chombo akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya
Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.Picha zote na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
No comments:
Post a Comment