Tuesday, January 14, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA ZANZIBAR

 Forodhani kwenye machopuchopu kila siku jioni
 Menu ya vilaji kiota cha maraha cha Mercury's 
 The Coconut Band chini ya mkongwe Abdulrahim Mwita 'Ray' wakitumbuiza katika kiota cha maraha cha Mercury's
 Usiku wa manane Ngome Kongwe...
 Watoto wakicheza maeneo ya Marumaru, Stone Town
 Bonge la hoteli ya Hyatt linajengwa karibu na Serena
 Tende mtaa wa Darajani
 Kituo cha daladala cha zamani ambapo sasa mabasi hayaji tena hapo
 Markiti ya Darajani inavyoonekana tokea kituo cha zamani cha daladala
 Michenzani kuna kituo kipya cha daladala.  Zogo mtindo mmoja....
 Sehemu ya kituo cha daladala Michenzani

1 comment:

Anonymous said...

Hongera uongozi wa miji Zenj mji upo safiiiii wakuu wa uongozi wa kariakoo / gerezani tungefuata mfano huu wa usafi wa kudumu si wa muda kwa mpokezi ya wageni tuu.
mikidadi-denmark