Sunday, January 5, 2014

JK AWASILI ZANZIBAR KUFUNGUA HOSPITALI YA KMKM KIBWENI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo kwa sherehe za kufungua rasmi Hospitali ya Kikosi Maalum cha Kupambana na Magendo (KMKM) Kibweni
 Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika uwanjani hapo kumlaki
 Rais Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis
 Rais Kikwete akipokea saluti toka kwa gadi ya KMKM baada ya kuwasili kwenye viunga vya hospitali hiyo Kibweni
 Maafisa wa KMKM wakipiga saluti kumkaribisha mgeni rasmi
 Gadi ya KMKM ikimlaki Rais Kikwete
 Baadhi ya askari wa KMKM katika gadi hiyo
 Rais Kikwete akisalimiana na makamanda wa KMKM
 Rais Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali katika hospitali hiyo ya KMKM Kibweni
 Rais Kikwete akitembelea moja ya vyumba vya huduma hospitalini hapo
 Rais Kikwete akipata maelezo kwa mmoja wa madaktari katika kitengo cha meno
 Rais Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali za hospitali hiyo
 Rais Kikwete akiendelea kutembelea hospitali hiyo
 Rais Kikwete akitembelea maeneo mbalimbali huku akipata maelezo ya hospitali hiyo
 Baadhi ya askari wa KMKM katika sherehe hizo
 Sehemu ya makamanda wa KMKM katika sherehe hizo
 Makamanda wa KMKM
 Mmoja wa wageni waalikwa akipitia jarida maalumu la KMKM
 Sehemu ya wabunge na wawakilishi wakiwa katika sherehe hizo
 Wasoma utenmzi wakitoa burudani
 Rais Kikwete akiwa meza kuu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora). Mhe. Haji Omar Kheri (kushoto kwake) na Mkuu wa KMKM (kulia kwake) na Spika wa Barazala Wawakilishi Mhe Pandu Ameir Kificho
 Rais Kikwete akiwapongeza wasoma utenzi
 Risala ya KMKM kwa Rais Kikwete
 Waziri wa Afya Mhe Juma Haji Duni akisema machache
 Baadhi ya makamanda wa KMKM
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora). Mhe. Haji Omar Kheri akizungumza
 Rais Kikwete akihutubia kadamnasi
 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia
 Dua yasomwa baada ya hotuba ya Rais Kikwete
 Meza kuu ikiitikia dua
 Rais Kikwete na viongozi wakielekea kupata picha za kumbukumbu
 Picha ya pamoja
 Picha ya viongozi na makamanda wa KMKM
 Rais Kikwete akimtambulisha daktari wake Profesa Mohamed Janabi kwa uongozi wa KMKM na kuwataka washirikiane katika kupata ushairi, vifaa na wataalamu wa kusaidia hospitali hiyo.
PICHA NA IKULU

No comments: