Sunday, December 22, 2013

uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar

 Baadhi ya wafanya biashara  walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo usiku kuamkia leo
  Baadhi ya wafanya biashara  walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo usiku kuamkia leo
 Kikundi cha Calture Muzical Club,kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort
 Miongoni mwa Viongozi,wafanyabiashara na wananchi walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo
 Picha ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,iliyobebwa na Katibu wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,Ali Khamis ikinadishwa kuuzwa katika Uzinduzi wa  Mfuko huo jana,katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. Erio pamoja na Wafanyabiashara na wananchi mbali mbali walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi  Viatu vya makubadhi Mkurugenzi wa Rakgas Zanzibar Protase Ishengoma,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar
Katibu wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, Nd,Ali Khamis na Mshereheshaji wa Sherehe za uzinduzi wa mfuko huo Chimbeni Khair,wakinadisha Picha Mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa ubunifu wa kutumia majani  makavu ya Mgomba,katika hafla hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa PPF  Bw. William Erio anaonesha kuvutiwa nao na hapo hapo akapanda dau
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa PPF  Bw. William Erio, Picha ya mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa ubunifu wa kutumia majani makavu ya Mgomba,aliyonunua kwa shilingi za Kitanzania Millioni Tano, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi  Mlango wa Zanzibar  Dr.Rajeev Aggarwal,mtaalam wa mambo ya uwezeshaji katika Wizara ya uwezeshaji wananchi,mlango huo ulinadishwa kwa Shillingi za Kitanzania  Millioni moja na Laki moja,katika uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea maonesho ya wajasiria mali kutoka Vikundi mbali mbali vya Unguja na Pemba, katika uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments: