Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa
Juma Khamis,alipowasili katika uwanja
wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini
Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja
wa Vijana wa CCM Zanzibar katika
kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,alipowasili katika uwanja wa
Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi
Umoja wa
Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi.[
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) Mwenyekiti wa UVCCM
Taifa Sadifa Juma Khamis,(kushoto) wakifuatana na Viongozi wengine, mara
alipowasili katika uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini
Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja
wa Vijana wa CCM Zanzibar katika
kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi
Mwenyekiti
wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,(kutoka kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein, Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Ali
Iddi,na Dr.Mauwa Daftari,mjumbe wa halmashauri Kuu wa CCM Taifa (NEC) wakiwa
katika hafla ya ufunguzi wa Matembezi ya Umoja
wa Vijana wa CCM Zanzibar katika
kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi,Michweni Mkoa wa kaskazini Pemba
Vijana
wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika uwanja wa Mpira
wa Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakisubiri ufunguzi wa
matembezi ya umoja huo ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,na kufunguliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.
Vijana
wasoma Utenzi Saumu Mohammed,na Rehema Juma,wakiwaburudisha wanachama wa Chama
cha Mapinduzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja wa Vijana
UVCCM Zanzibar ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,ambapo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,atafungua
matembezi hayo yatakayoanza Micheweni
,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya Veterani wa Umoja wa Vijana UVCCM
Zanzibar,kutoka kwa Mzee Mohamed Hassan Ali, katika ufunguzi wa Matembezi ya
Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira
Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya UVCCM Zanzibar,baada ya kusomwa
na naibu katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, katika
ufunguzi wa Matembezi ya Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,
katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo

Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Sixtus
Mapunda,baada ya kutoa salamu za Jumuiya, katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja
huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa
Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo
Mwenyekiti
wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi
wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, kuzungumza
na Umoja wa Vijana ili kuyafungua Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa
Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM
Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,pamoja na
kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(wa pili kushoto)akiongoza Maandamano ua Umoja wa
Vijana CCM Zanzibar yaliyoanzia Michweni kelekea Wete Pemba,leo katika ufunguzi
rasmi,Makamo wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa kamati Kuu Balozi Seif Ali
Iddi,(kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,(katikati) Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM
Taifa NEC Dk.Mauwa Daftari
Vijana
wa CCM Zanzibar,UVCCM wakiwa katika Matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar,(hayupo pichani)yaliyoanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa
Kasakazini Pemba
Vijana wa UVCCM
wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya Madhimisho ya
miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa leo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini
Pemba.
Kikundi cha Brass Band cha Umoja wa Vijana CCM Zanzibar,kikiongoza matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,leo kuanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba.Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.
No comments:
Post a Comment