Sunday, December 1, 2013

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUUNGANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI SHEREHE YA UHURU CALIFORNIA NA MHE. JANUARY MAKAMBA KUWA MGENI RASMI TANZANIA UHURU NIGHT WASHINGTON, DC

 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi  na Teknolojia na Mbunge wa Bumbuli Mhe January Makamba
Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula
---
 Tiketi zinapatikana online au Piga simu kwa Dj Luke 301 661 6696,  Dj Seif  202 286 6595 na Baraka Daudi 301 792 8562 
Hawa ndio watakaopendezesha Uhuru  Bar
Kristina                             Sonia                                        Nina
Uhuru Red Carpet

VIJIMAMBO Blog inakuletea TANZANIA UHURU NIGHT siku ya Jumamosi December 7, 2013 Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER, 9055C Maier road, Laurel, MD 20723 na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba kuwa mgeni rasmiNi usiku wa Uhuru wa Tanzania, kula, kunywa mpaka unasaza kwa $60 tu na muziki ni mpaka asubuhi nunua tiketi yako mapema nafasi za kukaa ni watu 200 tu na 
Mimi ni mtanzania, natoka Tanzania, nchi yangu Tanzania, MIAKA 52 ya UHURU wa TANZANIA.

TANZANIA UHURU NIGHT Itaanza saa 12 jioni (6pm) kwa COCKTAIL

Tega sikio tutazidi kuwajuza mambo mazuri yakayojiri siku hii ya Tanzania Uhuru Night


ALL YOU CAN EAT AND DRINK ALL NIGHT FOR $60 ONLY

KARIBUNI WOTE

No comments: