Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Mwenyekiti wa Tume Mhe Jaji Aloysius Mujulizi akisoma taarifa yake wakati wa kufungua mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Baadhi ya Wastaafu wa Tume wakiwa katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 30 ya Tume.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva akichangia mada wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Tume
Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Kamishna wa Tume Bw. George Liundi akichangia mada katika Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jaji Profesa Ibrahim Juma akitunukiwa Cheti na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angelah Kairuki
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki na Wenyeviti wastaafu wa Tume
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Watendaji wastaafu wa Tume waliokaa Bw. Nathaniel Issa (Kulia) na Bw. Japhet Sagasii (wa pili kulia).
Picha ya Pamoja baina ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angelah Kairuki na washiriki wa Mkutano wa maadhimisho ya miaka 30 ya Tume. Picha zote na Munir Shemweta LRCT
No comments:
Post a Comment