Sunday, November 10, 2013

MAZOEZI YA WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL 2013 YAPAMBA MOTO

Jumla washiriki 14 waliwasili kambini tangu ijumaa iliopita katika hoteli ya JB Belmont jijini Dar es salaam na sasa wako katika mazoezi makali kujinoa na mchuano wa kuwania taji la uanamitindo bora wa mwaka 2013. Wanamitindo hao wako kimashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva









No comments: