Sunday, October 6, 2013

TASWIRAZZ MBALI MBALI ZA WAJUMBE WA MKUTANO WA 23 WA PPF WALIPOTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO

Wajumbe wa Mkutano wa 23 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa pensheni wa PPF, waliokuwa wakishiriki mkutano huo kwa siku tatu mfululizo,jana walipata fursa ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ikiwa ni sehemu ya Utalii wa ndani ili kuweza kujionyea vivutio mbali mbali ndani ya hifadhi hiyo iliopo ndani ya Mkoa wa Manyara.Pichani ni lango kuu la kuingia kwenye Hifadhi hiyo.Picha zote na Othman Michuzi.

















































No comments: