Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani"
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa huku mumewe Vicent Mnyanyika akishuhudia pembeni.
Bi. Tatu Abdi katika picha na mpambe wake.
Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao kanisani.
Maharusi wakivionesha vyeti vya ndoa kwa mashuhuda mara baada ya kufunga ndoa.
Picha na wapambe wa maharusi.
Picha na wazazi wa maharusi
Maharusi wakiwapungia mikono wageni waalikwa kwa ishara ya kuwaaga mara baada ya kumalizika kwa mnuso huo wa nguvu uliofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel.
No comments:
Post a Comment