Monday, October 14, 2013

TASWIRA MBALIMBALI ZA MAPOKEZI YA RAIS KIKWETE MKOANI IRINGA JUMAPILI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa shangwe na makada wa CCM mara alipotua katika uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa tayari kuhduhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zinazofanyika leo Oktoba 14, katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora
 Karibu sana Iringa Mheshimiwa...
 Tuna furaha kubwa kwa kututembelea anasema Mhe Venance Mwamoto
 Rais Kikwete akipeana mikono na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Amos Makala
 Rais Kikwete akisalimiana na Afande Mnubi wakati alipotua uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa tayari kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya vijana
 Rais Kikwete akivishwa skafu na vijana wa skauti
 Rais Kikwete akipokea saluti ya ukaribisho
 Rais Kikwete akipeana mikono (ya kushoto, kiskauti) na kiongozi wa skauti
 Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua
 Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali mara baada ya kutua uwanja wa Nduli
 Rais Kikwete na viongozi wengine wakielekea kuangalia vikundi vya ngoma
 Kikundi cha ngoma kikitoa burudani
 Rais Kikwete akipungia kwa furaha kikundi cha ngoma
 Ngoma za kila aina za mkoa wa Iringa zilimlaki Rais Kikwete
 Karibu Mheshimiwa mkoani Iringaaaaa.....
 Furaha na nderemo
 Kioda cha nguvu kikimlaki Rais Kikwete
 Ngoma zamfurahisha Rais Kikwete
 Kikundi cha ngoma cha kinamama wa CCM kikimlaki Rais Kikwete
 Vijana wengi walijitokeza kumpokea Rais Kikwete
 Vijana hamjambo.....
 Karibu Iringa Mheshimiwa.....
 Rais Kikwete akisalimiana na wana Iringa kwa furaha
 Karibu mgeni
 Profesa upo...?
 Karibu Mheshimiwa....
 Mhe Kabati akimlaki mgeni
 Kamanda wa vijana wa Mkoa wa Iringa Salim Abri akimlaki mgeni kwa furaha kubwa
 Mhe Jestina Mhagama akimkaribisha mgeni
 Karibu sana Iringa Mheshimiwa....
 Karibu sana mkuu...
 Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akimlaki  Rais Kikwete kwa furaha
 Karibu sana Mheshimiwa
 Watoto nao walikuwepo kumlaki Rais Kikwete
 Wafuasi wa vyama mbalimnbali walijitokeza kumlaki Rais Kikwete
 Karibu Iringa Mheshimiwa.....
 Karibu mzee...
Tumefurahi sana kwa ujio wako Mheshimiwa....

1 comment:

Anonymous said...

Mheshimiwa unatisha, hata hawa wanaojiita peoples power walikuwepo kukulaki??????