Friday, October 4, 2013

Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wamalizika leo jijini Arusha

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magese Mulongo akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba yake ya Kufunga Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,uliomalizika muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza jambo wakati wa kufunga Mkutano huo,uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
 Mtoa Mada wa Mwisho katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Chris Mauki akiwasilisha mada yake kwenye Mkutano huo uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Mchangia Mada ya mwisho siku ya leo,Dk. Kabeho Sollo akifafanua maswala mbali mbali yahusuyo mada hiyo katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo. 
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka akitoa mwongozo wakati wa Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
 Meneja Uratibu wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Mbaruku Magawa akitoa taarifa fupi kwa wanachama na wadau wa PPF.
 MC wa Mkutano huo,Mzee Mavunde akiendelea na wajibu wake.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,Mbunge wa Jimbo la Busega,Mh. Titus Kamani muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,MC Mzee Mavunde muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,Mwanalibeneke Othman Michuzi muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magese Mulongo akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakipokea vyeti kwa niaba ya Wadau wengine.
Meza kuu.
Wadau wakiuliza maswali.
Mh. Titus Kamani akichangia hoja.
Meneja Uhusiani na Masoko wa PPF,Lulu Mengele akiandika mambo mbali mbali yaliyokuwa yakiendelea mkutanoni hapo.
Wakurugenzi wa PPF, Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji,Assumpta Mallya na Mkurugenzi Msimamizi wa Mambo ya Hatari,Uphoo Swai wakifatilia mada mbali mbali katika mkutano huo.
Wadau mbali mbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadada warembo wa PPF wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Wadau wa Dawati la Utawala wakiwajibika.
Wadau wa PPF.
Wajumbe wa bodi na mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wapya wengi wao wabunge, mara baada ya kukabidhiwa kadi zao.

No comments: