Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary Nagu akikata utepe kuzindua Mfumo wa Ufatiliki
(Traceability System) wa Asali ya Tanzania, Wa kwanza kushoto ni Waziri wa
Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino
aliyemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anayeangalia kushoto kwa Waziri Nagu
ni Mwenyekiti wa Bodi ya GS1 Tanzania Elibariki Mmari na kushoto kwake ni Fatma
Kange, Afisa Mtendaji Mkuu wa GS1 Tanzania.
Mgeni
Rasmi akiwa na wageni wengine wakifatilia uwasilishwaji wa mfumo huo
uliokuwa ukifanywa na afisa wa GS1 Tanzania.
Wakuu
wa Wilaya na Wabunge wakifuatilia uzinduzi huo,
Maofisa
watendaji wakuu toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makani uwasilishwaji
wa mfumo huo.
Wadau
wa nyuki toka mikoa husika wakifuatilia kwa makini.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa GS1 Tanzania Bi. Fatma Kange akitoa maelezo ya awali kuhusiana
na mpango mzima wa Mfumo wa Ufatiliki wa Asali.
Mkuu wa
Mkoa wa Katavi akiuliza swali wakati wa kongamano baada ya uzinduzi.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwakaribisha wadau
wa Asali shambani kwake Zuzu Mkoani Dodoma, Mwenye Kaunda suti nyeupe ni Mh. Suleiman
Kumchaya Mkuu wa Wilaya Tabora aliyemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh.
Fatma Mwasa.
Zuzu Shambani kwa Waziri Mkuu.
Sehemu ya mabanda ya kufugia nyuki kwa njia ya kisasa
Hapa mambo mswano kwa nyuki
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na wadau wa Asali shambani kwake Zuzu Mkoani Dodoma,
Mtaalamu
wa Mifumo ya Ufatiliki toka GS1 Tanzania Bw. Pius Mikongoti akitoa mada ya
mfumo mzima kwa wadau.
No comments:
Post a Comment