Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia. Aliyevaa Kimasai ni msani Hafsa Kazinja aliyetia fora kwa wimbo wake wa wanawake
Maonesho ya mavazi ya kiafrika ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.
M
Maonesho ya mavazi ya kiafrika ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.

Washiriki wa hafla ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia wakicheza muziki.
Vivywaji na vyakula navyo katika hafla hiyo vilikuwa ni vya kiasili asili. Hapa wageni wakipata kinywaji aina ya dafu.
[
Kikosi kazi na waratibu waliofanikisha tamasha la jinsia Tanzania kikitambulishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya (kulia)
No comments:
Post a Comment