Saturday, September 14, 2013

Taswira za jiji la Windhoek, Namibia

 Sehemu ya jiji la Windhoek, Namibia
 Barabara inayotoka nje ya jiji
 Sehemu ya maegesho
 Mojawapo ya maduka mengi (malls) jijini Windhoek
 Panapendeza
 Shopping centre
 Sanamu barabarani
 Biashara ya vinyago ni kubwa jijini hapo
 Maduka mtaa wa Independence
 Soko maalumu la vinyago
 Windhoek inavyoonekana alfajiri
Ni mji msafi sana kwa kweli

2 comments:

Anonymous said...

Na kwetu bongo inawezekana,bac tu viongozi wetu hawatilii mkazo nchi kuwa safi,inakera kwa kweli kuona nchi chafu kama bongo mji mchafu kama Dar

Anonymous said...

Ni kweli Windhoek ni mji msafi, nimekaa hapa kwa miaka minne sasa nilichokiona ni kuwa watoto tokea chekechea wanafundishwa ustaarabu wa kuweka mji safi, wazazi nyumbani wanaendeleza na ukichukua kizazi hicho ina maana watakuja kuendeleza usafi. Usafi ni jadi yao hata kama mtu yuko kwenye makazi duni(slums). Hivyo basi ni swala la wote kila mmoja wetu akichukia hatua tutaweza, tukiachia viongozi tu sijui itachukua karne ngapi!!