Sunday, September 22, 2013

CHAMA CHA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM 'DABA' WAPATA VIONGOZI WAO

Baadhi ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi huo Zuwena Kipingu  katikati pamoja na mwangalizi mkuu wa uchaguzi Remmy Ngabo kulia.

Baadhi ya wajumbe kutoka klabu ya Ashanti ya Ilala wakifatilia uchaguzi huo kutoka kushoto ni Emanuel Mgaya, Hamisi Manyota na Juma Mwalimu  wakifatilia uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa ngumi mkoa wa Dar es salaam 'DABA' ULIOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UKUMBI WA ddc mLIMANI
Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa mchezo wa Masumbwi Mkoa wa Dar es salaam Zuwena Kibena katikati akizungumza baada ya kumalizika uchaguzi huo na kupatikana viongozi wake.
BONDIA KALAMA NYILAWILA AKIFATILIA UCHAGUZI HUO



Mngombea wa nafasi ya makamu Mwenyekiti Timithi Kingu akijinadi wakati wa kuomba kura
Baadhi ya viongozi wakipiga kura za kuchagua viongozi watakaokiongoza chama cha mchezo wa ngumi Mkoa wa ar es salaam DABA
MMOJA YA WAJUMBE ALIYEOMBA  NAFASI YA KATIBU MKUU,WAMBOI MANGORE AKIJINADI KWA WAPIGA KURA
MMOJA YA WAJUMBE JAFARI NDAME AKIOMBA KURA ZA KUWA MJUMBE WA KAMATI YA  UHUSIANO HABARI NA MASOKO
Juma Uwesu akiomba kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa maendeleo ya vijana
Arnord Ngumbi akiomba nafasi ya ujumbe wa vilabu,wilaya na taasisi za umma.
Mazimbo Ali akiomba kuwa mjumbe ili awaletee maendereo ya mchezo wa masumbwi kwa upande wa wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuhakikisha wanashiriki kama wengine

No comments: