Sunday, August 11, 2013

LEDGER PLAZA-BAHARI BEACH HOTEL YAVUTIA WENGI

 Geti kuu la hoteli ya kitalii ya Ledger Plaza-Bahari Beach jijini Dar es salaam ambayo imefunguliwa hivi karibuni na kuwa kivutio kwa wadau wa kila aina hasa siku za Jumapili na Sikukuu. Tofauti na hoteli kibao za ufukweni hapa kiingilio ni bure ila unatozwa huduma kama vile bwawa la kuogelea, chakula na michezo ya watoto
 Ankal akiwa na wadau Bahari Beach katika Iddi tatu
 Ukarabati wa nguvu umefanyika
 Majabali ya kuzuia bahari yapo kama ilivyokuwa enzi hizo
 Watoto wakifurahia beach ya Bahari
 Bwawa la kuogelea
 Mafumu Bilali Bombenga akitayarisha mambo kabla ya bendi yake ya African Beats haijaanza kutumbuiza. Kila Jumapili wapo hapo
 Taswira ya bwawa na bahari
 Wadau kutoka kila kona na watoto wao wakiburudika
 Bar katikati ya ukumbi ndio badiliko pekee katika hotelu hii
 Ukarabati haukugusa taswira halisi ya hoteli kama ilivyokarabatiwa baada ya kuungua huko nyuma
 Kuta na nguzo ni zilezile za mawe
 Wadau toka kila kona wakimiminika hotelini hapo
 Mandhari ya bustani na beach
 African Beats wakika mzigo
 Taswira ya bwawa la kuogelea
 Nyama choma kama kawa pamoja na bonge la Buffet
 Shisha kwa wanaopenda ipo pia
 Wadau wa Ledger-Plaza Bahari beach wakisubiri kukuhudumia kwa weledi na tabasamu
 Mapokezi yako vilevile
 Njia ya kuelekea vyumbani
 Ufukweni
 Watoto wakifurahia jumping castle na michezo kibao ya Super Star kids


 Ben Ten naye yupo...
 Sellah na Natasha wakibembea
 Kikundi cha Dar Creators kikitumbuiza
 Ngoma za utamaduni zipo pia katika kumalizia Jumapili ya Iddi tatu

No comments: