Thursday, July 11, 2013

SWAHILI TV EXCLUSIVE - TASWIRA ZA EVENT YA CELEBRATING THE LIFE OF OMAR ADAM SYKES

Mfululizo wa matukior katika event ya Celebarating the Life of Omar Adam Sykes ambapo shughuli kuu ilifanyika katika Andrew Ranking Memorial Chapel na kisha Reception iliyofanyika Locke Hall, Howard University, Washington DC jumatano jana jioni tarehe 10,2013.
Alex Kassuwi-Swahili TV anaripoti, Exclusive video inakuja endele kutusoma
Mhe. Lily Munanka Kaimu Balozi alikuwa mmoja wa waombolezaji
Kushoto Sherry Sues mama wa marehemu Omar Adam sykes

Kutoka kushoto; Majida, Lusinde, Kaimu Balozi Lilly Munanka, Ilyasa Sykes, Gao, Ashura na Sunday Shomari

SHUGHULI ILIANZA SAA KUMI NA MBILI JIONI 
Ndugu wakiwasili Andrew Ranking Memorial Chapel 

Mayor Vincent Gray akiwasili na jopo lake Andrew Ranking Memorial Chapel 





Viongozi mbalimbali wa DC wakiwasili Andrew Ranking Memorial Chapel 


Ndani ya Andrew Ranking Memorial Chapel 


MUDA WA KUTOA POLE
 Adam Sykes Baba wa marehemu Omar Sykes akipewa pole na ndugu na marafiki
  Adam Sykes Baba wa marehemu Omar Sykes akipewa pole na Ashura na Nelly watanzania waishio hapa DMV
  Adam Sykes Baba wa marehemu Omar Sykes akipewa pole na Rose Mziray Tenga mfanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.


CHAKULA NA MAONGEZI LOCKE HALL HOWARD UNIVERSITY
 Lusinde,Adam Sykes na Alex Kassuwi wakiwa katika mazungumzo


 Alex Kassuwi na Jendayi Frazer - Aliyekuwa naibu waziri wakati wa utawala wa Rais George Bush 2005-2009 wakipata pamoja picha ya ukumbusho.


 Sherry Sues (Omar Mom) na Alex Kassuwi wakipata picha ya ukumbusho


 Ashura, Eliud Mbowe na Sunday shomari wakiwa nje ya  Andrew Ranking Memorial Chapel 
 Earlean na Jody (Bibi na Babu wa marehemu Omar Sykes)


Kutoka kushoto Ilyasa Sykes (Baba Mkubwa wa marehemu Omar Sykes),Alex Kassuwi, Ashura, na ndugu wa marehemu 
Kutoka kushoto; Majida,  Rose Tenga (wa nne), Ashura, Mganda, Gao na Sunday Shomary wa VOA-Swahili 


 Jendayi Frazer - Aliyekuwa naibu waziri wakati wa utawala wa Rais George Bush 2005-2009 naye alikuwepo.


 kutoka kushoto; Majida, Lusinde, Kaimu Balozi Lily Munanka, Ilyasa Sykes, Gao, Ashura na Sunday


Mhe. kaimu Balozi mama Lily Munanka, Mama Lusinde na Baba wa marehemu Bwana Adama Sykes wakiwa katika mazungumzo wakati wa chakula Locke Hall, Howard University 


 Wajomba wa marehemu Omar Sykes wakijadili jambo
 Kushoto Sherry Sues (Mama wa Omar) akifarijiwa na ndugu
Kushoto Sherry Sues (Mama wa Omar) akifarijiwa na ndugu

Kaimu Balozi Mama Lily Munanka akiwa katika mazungumzo na Mama Lusinde 


 Kaimu Balozi Mama Lily Munanka, Mama Lusinde na Bwana Adam Sykes wakiwa  katika mazungumzo 


 Wajomba wa Omar wakisoma jumbe mbalimbali za kutia faraja

 Bwana Adam Sykes Baba wa marehemu Omar Sykes

 Alex kassuwi akiwa na mtangazaji maarufu nchini Marekani Jackie Bensen wa NBC4 Washington DC

 Alex Kassuwi-Swahili TV akiwa na Mwanalibeneke Sunday Shomary wa VOA-Swahili

No comments: