Sunday, June 9, 2013

NSSF ILIVYOSHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO

 Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro akimkabidhi cheti, Ofisa Utawala Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yussuf Mmanga, kwa kutambua mchango wa Shirika la hilo katika kufanikisha matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Barclays, Kihara Maina. 
 Picha ya pamoja.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo.   
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo.  
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakiwa na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo. 
 Kuweka mwili fiti.
 Mazoezi.
Baadhi ya  Wafanyakazi wa NSSF wakishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi ya hisani.

Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) akiongoza mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa  matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii  (NSSF)
 Baada ya matembezi ni furaha tupu.
 Tunajali afya za akina mama na watoto
Brass Band ya Polisi ikiongoza matembezi ya hisani ya 'Steap Ahead' kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Matembnezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiswa na NSSF.
Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro (wa pili kushoto) akiongoza matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Montage, Teddy Mapunda na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Barclays, Kihara Maina.
 Kiongozi wa Kalude Band, Deo Mwanambilimbi (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wake wakati bendi hiyo ilipotumbuiza kwenye matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na NSSF.
 Baada ya matembezi Karunde Bande ilitoa shoo ya nguvu.

No comments: