Saturday, June 15, 2013

BONANZA LA MICHEZO LA CASTLE LAGER SOKA FEST LAFANA SANA

 Mtanange mkali kati ya timu za Makampuni ya FastJet pamoja na AIM Group ukiendelea kwenye viwanja hivi vya Posta,Kijitonyamana jijini Dar es Salaam hivi sasa ikiwa ni sehemu ya Bonasha la aina yake la Michezo linalofahamika kama "Castle Lager Soka Fest" chini ya Udhamini Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia yake ya Castle Lager.Bonanza hili limebamba vilivyo katika viwanja hivi huku Bendi za Twanga Pepeta na Kalunde Band zikiendelea kutoa Burudani.
 Mara nyingi sifa kwa Beki huwa hakuna,kwani hatakiwa kuremba pindi apatapo mpira na hapa ni Beki wa timu ya AIM Group akiondosha hatari langoni mwake.
 Katika kiwanja cha pili kuna mtanange kati ya Polisi Dar es Salaam na Timu ya Kampuni ya Alfatek ambapo mpangano wao pia ni mkali kupita kiasi.
 "hapa unafinywa namna hii na mtanange unaendelea" hivyo ndivyo afanyavyo beki huyu.
 Meneja wa Bia ya Castle Lager,Kabuna Nshimo (shoto) akiweka mambo sawa katika Banda la Castle Lager wakati wa Bonanza hilo,linaloendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Posta,Kijitonyama jijini Dar es salaam.
 Wadau wakicheza Game ya Soka walipotembelea kwenye Banda la Castle Lager ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Bonanza  "Castle Lager Soka Fest" linaloendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Posta,Kijitonyama jijini Dar es salaam.
 Mameneja wa Bia za TBL,Toka shoto ni Kabula Nshimo (Meneja wa Bia ya Castle Lage),Pamela Kikuli (Meneja wa Bia ya Ndovu na Castle Lite) pamona na Victoria Kimaro (Meneja wa kinywaji cha Redd's Original).
 Wadau wa TBL.
Wadau wa DSTV pia wapo katika viwanja hivi.
 Wadau mbali mbali wakiwakilisha ndani ya Bonanza hilo mchana huu.
 Mambo ya Nyama Choma pia yanapatikana hapa hivi sasa. 
 Shangwe zikiendelea.
 Wadau wakifatilia Mitanange mbali mbali inayoendelea hivi sasa Viwanjani hapa.
 Marafiki pia wapo.
 
Hapa ni mwendo wa Castle Lager kwa kwenda mbeleee....
 Mapumziko.

 Wadada wa Castle Lager wakiwajibika vilivyo.
 Mdau akirekebisha koo lake na kitu barrrriiiiidddddd........ 
 Mie nikiwa na Mratibu wa Bonanza hili la Sok,Mdau Evans Manyanya.
 Wadau wakipiga kitu kati. 
 Mie na kamanda wangu wa Ukweli.
Wadau wa FastJet.

No comments: