Friday, March 15, 2013

WENGI WAJITOKEZA MSIBA WA MAMAKE MGWASSA DAR


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa akizungumza na baadhi ya waombolezaji waliofika kumfariji kwa kufiwa mamake mzazi Suzan  Mgwassa, Kijitonyama, Dar es Salaam. Mwili utasafirishwa leo kwenda kwao Manda, Ludewa kwa mazishi.















No comments: