Thursday, March 7, 2013

VODACOM YAENDELEA KUWAUNGANISHA WATANZANIA PAMOJA


Wakala wa Vodacom, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, akimuelimisha mteja wa Vodacom eneo la Kigogo-Mburahati Dar es Salaam faida za matumizi ya teknolojia itokanayo na minara ya 3G iliyofungwa na Kampuni hiyo kuzunguka jiji lote la Dar es Salaam hivi karibuni. Minara hiyo inatoa fursa kwa mteja wa Vodacom Tanzania kupiga simu na kupata huduma mbalimbali kulingana na vifurushi vilivyomo katika simu yake, ikiwemo intanet kwa kasi na viwango.
Wakala wa huduma za mtandao wa Vodacom Tanzania, Elizabeth Stephen,() akimuelimisha mkazi wa Kigogo-Mburahati, Dar es Salaam, namna atakavyonufaika baada ya kutumia vifurushi vilivyopo katika mtandao huo, kufuatia kampuni hiyo hivi karibuni kufunga minara ya 3G kuzunguka maeneo yote ya Dar es Salaam, minara hiyo inatoa fursa kwa mteja wa Vodacom kupiga simu na kupata huduma mbalimbali zikiwemo za intanet kwa kasi na viwango.
Wakala wahuduma za mtandao wa Vodacom Tanzania aliyevalia sare nyekundu, akimsajili kwenye mtandao huo mmoja wa wanafunzi eneo la Kigogo-Mburahati Dar es Salaam jana, wakati kampuni ya Vodacom ilipokuwa ikipita mitaani kuelimisha umma juu ya faida za matumizi ya mtandao huo kupitia teknolojia inayotokana na kufungwa kwa minara mipya ya 3G hivi karibuni. Minara hiyo inatoa fursa kwa mteja wa Vodacom kupiga simu na kupata huduma mbalimbali zikiwemo za intanet kwa kasi na viwango.
Wakala wahuduma za mtandao wa Vodacom Tanzania, KilibeJumbe,akimuelimisha mkazi wa Kongowe, Dar es Salaam, namna atakavyonufaika baada ya kutumia vifurushi vilivyopo katika mtandao huo, kufuatia kampuni hiyo hivi karibuni kufunga minara ya 3G kuzunguka maeneo yote ya Dar es Salaam, minara hiyo inatoa fursa kwa mteja wa Vodacom kupiga simu na kupata huduma bora za intanet.
Wakala wa Vodacom, Farida Abdul, (kushoto) akimsajilimtejampyawa Vodacom eneo la Kigogo-Mburahati Dar es Salaam kwenyekampenimaalumuyakuhamasishaummajuuyafaidazamatumiziyamtandaohuokupitiateknolojiampyainayotokananakufungwakwaminaramipyaya 3G hivikaribuni. Minarahiyoinatoafursakwamtejawa Vodacom kupigasimunakupatahudumambalimbalizikiwemozaintanetkwakasinaviwango.
Wakala wa Vodacom Tanzania, Zainab Said, akimsajili mteja mpya wa Vodacom eneo la Mtoni kwa Aziz Ally, Dar es Salaam jana kwenye kampeni maalumu ya kuhamasisha umma juu ya faida za matumizi ya mtandao huo kupitia teknolojia mpya inayotokana na kufungwa kwa minara mipya ya 3G hivi karibuni. Minara hiyo inatoa fursa kwa mtejawa Vodacom kupiga simu na kupata huduma mbalimbali zikiwemo za intanet kwa kasi na viwango.
Wakala wa Vodacom Tanzania, Elizabeth Stephen, akimsajili mteja mpya wa Vodacom eneo la Kigogo-Mburahati Dar es Salaam kwenye kampeni maalumu ya kuhamasisha umma juu ya faida za matumizi ya mtandao huo kupitia teknolojia mpya inayotokana na kufungwa kwa minara mipya ya 3G hivi karibuni. Minara hiyo inatoa fursa kwa mteja wa Vodacom kupiga simu na kupata huduma bora ya intanet anaeshuhudia katikati ni wakala Leila Abdala.
Wakala wa huduma za mtandao wa Vodacom Tanzania,KilibeJumbe mwenye fulana ya Vodacom (katikati)akiwaelimisha wakazi wa Kigogo-Mburahati, Dar es Salaam, namna watakavyo nufaika baada ya kutumia vifurushi vilivyopo katika mtandao huo. Kampuni hiyo hivi karibuni ilifunga minara ya 3G kuzunguka maeneo yote ya Dar es Salaam,kwa ajili ya kutoa huduma bora ya kupiga simu na internet.

No comments: