Friday, March 8, 2013

Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 yafanyika leo jijini Dar

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini Wakuu wa Redd's Miss Tanzania,Fimbo Butallah akitoa ufafanuzi juu ya Mada ua Udhamini na Wadhamini wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Vivian Shalua akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga na Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Agnes Kimuage.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Mbeya City Center,Anitha Audax akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Tanga,Zahor Said akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Temeke,Benny Kisaka akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Chang'ombe,Tom Chilala akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Ustawi,Bress Urasa akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred akiwa na Mrembo mwenzie alieshika nafasi ya tatu,Eda Sylvester wakiwa kwenye Semina hiyo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Kanda ya Kati,Mama Salome Kiwaya akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea leo kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye (kulia) akiwa na Afisa Mipango wa Kamati ya Miss Tanzania,Yasson Mashaka pamoja na Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Tabata,Fred Ogot wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Wadau wa Miss Tanzania,toka kulia ni Somoe Ng'itu,Khadija Kalili,Sam Michael pamoja na Alice Frank.
 Washiriki wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam  wakifatilia kwa makini Mada zinazotolewa kwenye Semina hiyo.
Washiriki wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam  wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Miss Tanzania.

No comments: