Friday, February 15, 2013

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kumzika Askofu Dk. Thomas Laizer jijini Arusha leo

Moja ya Mabango Makubwa yanayomuonyesha Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha,likionekana nje ya Kanisa la KKKT jijini Arusha.
 Picha ya Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer.
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza jopo la Maaskofu kuelekea kwenye eneo la Maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.

Mwili wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer ukiwasili eneo la Kaburi.
 Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jioni hii,jijini Arusha.
 Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja  na familia ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la  Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
 Waheshimiwa wabunge waliokuwepo kwenye Mazishi hayo wakielekea kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer kwa kuweka mashada ya maua.
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
 Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wakiweza Shada la Maua kaburini.
 Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri pia walijumuika kwa pamoja kuweka shada la Maua kaburini hapo.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa waombolezaji wa msiba mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.katika Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha jioni hii.
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
 Mbunge wa Jimbo la Arusha,Mh. Godbress Lema akizungumza.
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maalum la kumuombea Marehemu Dk. Laizer  kabla ya kwenda kwenye maziko jioni hii,jijini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini Arusha leo.
Mke wa Marehemu,Mama Maria Laizer (kushoto) akiwa na waombolezaji wengine.
Viongozi Mbali mbali.
Viongizi wa Dini.
Mzee Mwinyi akiwasili kanisani hapo na kupokelewa na baadhi ya viongozi wa Kanisa.

Maaskofu wakuu.
Mzee Mkaa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani hapo.

Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine.
Rais Kikwete akiaga.
Ndg Kinana.
Mh. Lowassa akisalimiana na Waombolezaji wengine.
Mh. Mbowe akisalimiana na Waombolezaji.
Mh. Lowassa akibazungumza na Bw. Ole Milya.
Mh. Lowassa akiaga.
Waombolezaji wengine.

PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

1 comment:

Anonymous said...

asante michuzi ubarikiwe sana kwakutuabarisha habari za za mziba wa askofu tomas laizer tuko nje ya nchi lkini utadhani tuko nyumbani kwa kutuwekea hizi picha narudia tena God bless you much