Saturday, December 1, 2012

Mnuso wa Send Off ya Grace Kingarame wa TBC One

 Grace Kingarame wa TBC One na mpambe wake wakikata keki wakati wa mnuso wa Send Off ya mtangazaji huyo iliyofanyika ukumbi wa Mwenge Social hall jijini Dar es salaam
 Wazaa chema
 Grace na wafanyakazi wenzie
 Grace na wapambe wake
 Shangazi wa Grace akidai kodi ya pango toka kwa mshenga
 Wafanyakazi wa TBC One wakijirusha na Kwaito
 Grace akimpa zawadi hazbendi  mtarajiwa Julius
Zawadi toka kwa wana TBC One

1 comment:

Anonymous said...

hahahaaa...msami...looo!!! lov it tho!