Wednesday, December 26, 2012

JK mgeni rasmi katika Mtanange wa kombe la Ujirani Mwema baina ya hoteli za kitalii za Four Seasons Safari Lodge na Serena Serengeti Lodge

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe la Ujirani Mwema nahodha wa Serena Serengeti Lodge Jamali Kitonga baada ya kuwafunga hoteli ya Four Seasons safari Lodge (zamani Bilila Lodge) jumla ya mabao 5-4 katika mchezo wa kusherehekea Krismasi katika uwanja wa Kifaru wa Four Seasons safari Lodge 
 Nahodha wa Serena Serengeti Lodge Jamali Kitonga akifurahia ubingwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na timu ya Serena Serengeti Lodge 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na timu ya Four Seasons Safari Lodge
 Ngoma ya kidedea ya Four Seasons Safari Lodge
  Mashabuiki wa Four Seasons Safari Lodge wakiwatambia Serena baada ya kupata bao la kuongoza
 Mfungaji wa bao la kuongoza wa Four Seasons Safari Lodge Seba Moses akishangiliwa kwa nguvu na mashabiki wake
Goooooooaaaal...!! Timu ya  Four Seasons Safari Lodge wakipata bao lao la  kuongoza
 Mashabiki wa Four Seasons Safari Lodge wakishangilia bao hilo
Serena wasawazisha kupitia Judica samweli namba 10
 Tuta la Serena latinga wavuni 
 Kipa wa Four Seasons akipangua penati
 Rais Kikwete akikagua timu ya Serena
 Kipute uwanjani
 Watafiti wa wanyama walikuwa baadhi ya mashabiki
Mashabiki wa Four Seasons
 Mashabiki wa timu zote mbili wakishangilia kwa pamoja
 Kidedea wa timu zote mbili wakiwa kazini
 Ngoma katikati ya uwanja
 Mtanange ukiendelea
 Mgeni rasmi na viongozi wa TANAPA na wa hoteli ya Four Seasons wakishuhudia mtanange
 Mashabiki wa Four Seasons wakishangilia
 Wadau wakiangalia mtanange
 Rais Kikwete akimsalimia refa wa mechi hii
 Mashabiki
 Mashabiki wakiangalia gemu
 Hatari hatari katika lango la Serena
 Yerooo! Tunataka magoli, sio chenga...! Mshabiki wa Four Seasons
 Hekaheka langoni pa Serena
 Mashabiki
 Mashabiki wakiangalia burudani ya Krismasi
 Mfungaji wa goli la kusawazisha wa Serena Judica Samwel akipongezwa na mashabiki na wachezaji
 Ngoma ya Kidedea ya Four Seasons yazimika baada ya kupigwa bao la kusawazisha na Serena
 Mashabiki wa Four Seasons
 Rais Kikwete akikagua timu ya Four Seasons
 Wadau wakiangalia gemu
 Hureeeeeee......Wachezaji wa Serena wakishangilia mkwaju wa mwisho wa penati uliowapa ushindi
 Afisa habari wa TANAPA Pascal Shelutete akisimamia hatua ya kukabidhiwa kombe kwa washindi
 Mpiga picha Juma Kengele akizongwa na wana Serena baada ya kunyakua kombe
 Paparazi wa Four Seasons akiwa kazini.....
 Paparazi toka Ufaransa akirekodi mtanange huo
 Mfungaji wa bao la Four Seasons akisalimiana na Rais Kikwete
 Serena wakikaguliwa
 Serena wakikaguliwa na Rais Kikwete
 Rais kikwete akikagua timu ya Serena
 Serena wakikaguliwa na Rais Kikwete
Rais Kikwete akikagua timu ya Serena
 Four Seasons wakipata bao la penati

No comments: