Wednesday, December 5, 2012

Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary wameremeta

 Harusi ya Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary

 Bwana Harusi Amrad  Mlowola akipozi na mkewe Edina muda mfupi baada ya ibada ya ndoa yao
 Bwana Harusi Amrad  Mlowola pamoja na Biharusi Edina Aminiel wakiingia kanisani kufunga ndoa yao.
 Katika poziiii..!
 Hapa ni katika pozi na wazazi wa bi. harusi
Maharusi wakipiga picha na mapambo yao
 Ukumbini Hellemic Club
 Wazazi wa Bwana Harusi, Bwana na Bibi Charles Mlowola wakiingia ukumbini
 Wazazi wa bwana harusi
Picha za kumbukumbu na wazazi na ndugu, jamaa na marafiki..!

No comments: