Sunday, November 11, 2012

Mnuso wa harusi ya mpiganaji Monyo wa ITV

 Ankal akiwa na mai waifu  wake
 Mama wa Rahateletz.blogspot.com akiwa bize kukupa matukio ya LIVE kutoka ukumbini
 Wafanyakazi na watangazaji wa ITV
Gilian Lewis akiwa katika pozi na mume wake
Huu ndio ukumbi wetu wa leo ni Mnazi Mmoja...











Wazaa chema
Bi Fatma na mai hazbendi wake Dkt Nyangasa
Wazaa chema
 Hawa ndio mc wetu katika sherehe yetu ya leo juu ni REGNA MWALEKWA  chini ni GODWIN GONDWE 

No comments: