Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la
Mapinduzi Zanzibar DR Ali Muhamed Sheni amesema kukamilika kwa jitihada zakulaza waya mpya wa umeme kutoka Fumba hadi Rasi kilomoni Darslamu
wazanzibari wataondokana na tatizo la umeme wa mgao linalo endelea hivisasa.
Hayo ameyasema leo huko Fumba wakati
wauzinduzi wa laini mpya ya umeme unao tarajiwa kumalizika disemba mwakahuu na
kutoa huduma kwa wananchi wa Zanzibar ambao kwa muda mrefu wanatumia nishati hiyo ya umeme wa mgao .
Amesema hali hiyo itamalizika muda mfupi tu kwani umeme umnao
lazwa waya wake una megawati 100 ambao
utatoshelza mahitaji ya wazanzibari bila ya wasiwasi wowote.
Amesema hali hiyo ni ya kufurahisha kwa wazanzibari kwani itaifanya zanzibar kuendeleza
shughuli zake za kimaendeleo na kuinua uchumi zaidi bila upungufu wa huduma
hiyo .
“Waya uliopo una megawati 45 ambayo hii ni
ndogo kwamatumizi ya wananchi lakini
kukamilika kwa waya huu mpya uta tosheleza mahitaji ya watu na katika mazingira ya kawaida
sirahisi umeme kukosekana ”ali sema DRsheni .
DR sheni ali wasihi wana nchi kuku bali
kuupokea na kuitunza huduma hiyo kwa mashirikiano kuazia ngazi ya shehia Wilaya
Mikoa na Taifa kwa kuepuka kujenga
,kuchota mchanga na kadhalika karibú na nguzo za umeme .
Aidha Raisi huyo alishukuru serikali ya
marekani kupitia shirikalake la changa moto za milenia (MCA compact) ,seriaki
ya japan kampuni ya VISCAS kwamengenezo ya waya huo na kuulaza baharini.
Waya huwo umegharimu zaidi ya milioni ishirini
28 za kimarekani wenyeurefu wa kilomita 36.5 una njia za mawasiliano 24 kupitia
mshipi teknohama (febre optic),una uwezo wa kuishi miaka 40 ,utalazwa kwa
gharama zaidi ya milioni 72 za kimarekani na serikali ya Mapindunzi ya Zanzíbar
imechangia 1,465,625.00 za marekani kufidia mali za wananchi zilizo athiriwa
katika eneo la utekelezaji .
No comments:
Post a Comment