Friday, October 12, 2012

DA' KHADIJA RIYAMI ASHINDA TUZO YA DHAHABU UTANGAZAJI -VOA

 Tuzo za Dhahabu za utangazaji uliotukuka VOA 2012.
Da' Khadija Riyami akipongezwa na mkuu wa idhaa ya Kiswahili VOA Mwamoyo Hamza baada ya kupata tuzo hiyo katika ofisi za VOA jijini Washington DC, Marekani. Picha na Sunday Shomari).

No comments: