Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano kwa Umma wa
SUMATRA, Maria Msellem, (kushoto) akitoa maelezo juu ya namna ya matumizi
sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na watumiaji
wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa
Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa
anatembelea banda la Posili usalama barabarani jana katika uwanja wa Samora
mjini Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa,
Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Nenda kwa
Usalama Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani
Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa,
Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum CCM,
Iringa Ritha Motto Kabati(kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Samora mkoani
Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa,
Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Meneja Mauzo wa Airtel, Kanda
ya Nyanda usini, Beda Kinunda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Samora mkoani
Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa. Airtel ndio wadhamini wa
maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine
Ishengoma, akisalimiana na RPC wa Mkoa wa Mbeya, Diwani Athuman mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo
kitaifa.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akipokea zawadi ya Airtel
kutoka kwa Meneja Mauzo wa Airtel, Kanda ya Nyanda usini, Beda
Kinunda mara baada ya kutembelea banda la Airtel ambao ndio wadhamini wa
kuu wa wa wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa. Kulia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Silima.
Wabunge
wa Viti Maalum mkoa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao (kushoto) wakiwa katika
viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo katika ufungaji wa Maadhimisho ya wiki
ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi
Malangali Mkoani Iringa, Steven Mligo(kushoto) akitoa maelezo juu ya namna ya
matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na
watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda
kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa
anatembelea banda la Posili usalama barabarani jana katika uwanja wa Samora
mjini Iringa.
Ofisa wa Wizara ya Ujenzi, (kuli0 akitoa
maelezo ya Wizra hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine
Ishengoma alipotembelea banda hilo. Kushoto kabisa ni Naibu Waziri wa Ujenzi
Gerson Lwenge
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara TANROAD wakiwa katika banda lao
Mkurugenzi wa Mipango wa TANROADS,
Mhandisi, Jason Rwiza (kushoto) akitoa
maelezo ya taasisi hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine
Ishengoma alipotembelea banda hilo. Kulia ni kabisa ni Naibu Waziri wa Ujenzi
Gerson Lwenge
Mneja wa Mkoa wa Iringa wa Shirika la
Bima la Taifa, (NIC) Ally Mohamed (kulia) akitoa maelezo ya taasisi hiyo kwa
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipotembelea
banda hilo. Wengine ni Mbunge wa Viti Maalum Iringa, Ritha Kabati (kushoto) na
Kamanda wa Trafiki, Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga.
Afisa Mauzo Msaidizi wa ASAS, Stanley Nyamle (kushoto)
akitoa maelezo juu ya namna ya matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara
kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika
ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk.
Christine Ishengoma alipokuwa anatembelea banda la Posili usalama barabarani
jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Wanafunzi wakitumbuiza kwa nyimbo katika
kilele hicho cha Wiki ya Nenmda kwa Usalama Kitaifa mjini Iringa hii leo.
Wabunge
wa Viti Maalum mkoa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao (kushoto) wakifurahia jambo katika
viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo katika ufungaji wa Maadhimisho ya wiki
ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Wasanii wa kundi la Mizengwe wakitoa
burudani katika sherehe za ufungaji wa maadhimisho hayo ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Kitaofa Mkoa wa Iringa. Kulia ni Mkaguzi wa Polisi, Abel Swai.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa
Makampuni ya ASAS, Salim Abgri kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho hayo
ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa. Abri pia ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Nenda kwa Usalama Mkoa wa Iringa.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Redio
One na Capita Radio, Deogratius Rweiyunga kwa mchango wake wa kufanikisha
Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mmwenyekiti wa
Kamati ya Nenda kwa Usalama Mkoa wa Geita, Willson Msuka kwa mchango wake wa
kufanikisha Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa
Baadhi
ya madereva wa Pikipiki mkoani Iringa waliopatiwa mafunzo maalum ya uendeshaji
pikipiki na kufaulu wakila kiapo cha utii wa sheria za barabarani mbele ya
Mgeni rasmi.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akifunga rasmi maadhimisho ya Wiki
ya Nenda kwa Usalama Kitaifa Mkoani Iringa leo.
No comments:
Post a Comment