Hii ilikuwa 1998 enzi za Linda alivokuwa na salon na boutique Tanzania. Hapa ilikuwa fashion show ya nguo alizokuwa anauza dukani kwake ( Lamia's woman world). Salon yake pia ndo iliokuwa official beautician sponsor wa miss Kinondoni,Ilala,Temeke na mpaka kwenye finals za miss Tanzania.
Tanzania top beautician akiwa kazini akimtengeneza Mbili abel kabla hajaanza show na nguo aliovaa ali design yeye hapa ilikuwa 1998
Akiwa kazini na tabasamu lake la jadi
LINDA akiwa na mwanae wa kwanza (18) Leyla Makongoro Bezuidenhout wote wakiwa wamevaa LB
LB AKIWA AMEVAA GWANDA LA CHADEMA ALILO DESIGN YEYE MWENYEWE
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa amevaa hereni na nguo alizo design
Linda akiwa kwenye shughuli zake za kudesign
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa amevaa LB dress, akiwa kwenye red carpet ya show za nguo za kiume hapa ndiko ununuwa bidhaa anazouza kwenye biashara ya nguo za kiume
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa on time for the fashion show na mumewe kwenye white carpet Atlanta USA
Linda akiwa na designer mwenzie ambae hudesign scarf za kike na painter maarufu sana kutoka SPAIN aitwae ALMERIANE
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa na wanae kwenye grand opening duka lao la MILANO kwenye MALL OF GEORGIA USA
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa ana promote duka lake la MILANO kwenye MALL OF GEORGIAkazini kwake
Linda ni Chadema blood and soul hapa akiwa kwenye birthday yake ya mwaka jana alivotimiza miaka 39 akiwa na mama mkwe wake na nieces na wanae pamoja na mumewe
Logo ya Linda
LINDA akiwa na mwanae wa kwanza (18) Leyla Makongoro Bezuidenhout wote wakiwa wamevaa LB
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) sio beautician na designer pekee bali pia huwa anashauri wateja zake namna ya kuvaa from head to toe kama tunavomwona hapa kavalisha hizi mannequins |
Dress designed and made by LB
LB AKIWA AMEVAA GWANDA LA CHADEMA ALILO DESIGN YEYE MWENYEWE
LINDA BEZUIDENHOUT (LB) akiwa amevaa hereni na nguo alizo design
Linda akiwa kwenye shughuli zake za kudesign
No comments:
Post a Comment