Friday, August 24, 2012

Uzinduzi wa mapango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii wafana


 Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiingia katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa mapango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii.
 Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii  katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.
 Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN Mama Asha Rose Migiro akiongea na wadau mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Husein Mwinyi  akisoma hotuba  wakati wa uzinduzi wa  mapango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)  Daud Nasibu akitoa utambulisho wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.
 Viongozi mbalimbali wakkicheza wimbo wa wanawake na maendeleo ulioimbwa na msanii Vicky Kamata wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam jana.
 Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kushoto) akiongea na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN Mama Asha Rose Migiro wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.
 Wake wa viongozi  wakicheza wimbo wa wanawake na maendeleo ulioimbwa na msanii Vicky Kamata wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam
Wake wa viongozi  wakiwa katika picha ya pamoja  mara baada ya kumalizika kwa kwa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya,kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Itenda– Maelezo























No comments: