Monday, July 2, 2012

REGINA RAYA BRIDAL SHOWER YAFANA READING

Siku ya Jumamosi tarehe 30.6.12 ilikuwa ni Bridal shower ya Bi harusi mtarajiwa Regina Rayah iliyofanyika hapa mjini Reading UK katika Ukumbi wa Irish Club. Sherehe hii ilifana sana MC wa shughuli hii alikuwa Marium Nice.

Harusi itafanyika tarehe 7 July 2012 katika kanisa la St Peter's Church, anuani ni Church Road, Caversham, Reading RG4 7AD kuanzia saa kumi jioni na baada ya harusi sherehe itaanza rasmi saa kumbi na mbili na nusu jioni katika Hotel ya Hilton Drake way, Reading RG2 0GQ.

Kwa maelzo zaidi wasiliana na simu 07404151936

Asanteni

Picha kutoka Urban Pulse Creative.
Bwana Terry na Bi Harusi Regina watarajiwa.
Maharusi watarajiwa wakiingia ukumbuni.
Mambo ya champagne
Bi Harusi Mtarajiwa akiwa na wapambe wake.
Bi Harusi Regina Rayah(kushoto) akimlisha keki wifiye Macklina Kalinga.
Bi harusi Mtarajiwa akila pozi la nguvi.
Bi harusi mtawajiwa Regina akiwa na mashosti.
MC Mariam Nice akimtambulisha mrs Elina Kalinga (mama mdogo wa Bi harusi) mtarajiwa.
kitivo cha upodozi.
wakati wa msosi.
wakati wa zawadi.
wageni waalikwa wakati wa sherehe.

1 comment:

Anonymous said...

huyo regina ni nan?