Sunday, July 8, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL MGENI RASMI TUNZO ZA WASANII BORA 2012 WA MUZIKI WA ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotub`a yake wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Heshima msanii mstaafu wa muziki wa Taarab, Mwanacha Hassan Kijole (65) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Zantel, Zanzibar, Mohamed Baucha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Heshima msanii mstaafu wa muziki wa Taarab, Mwanacha Hassan Kijole (65) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel.Hafla hiyo ilifanyika jana  katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib (kushoto) ni Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Zantel, Zanzibar, Mohamed Baucha.
 Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan, aliyeibuka mshindi kwa kuwa mwimbaji bora wa mwaka wa Taarab Aslia, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za  Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.
  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi Mkuu, akimkabidhi Tuzo mwanamuziki wa kundi la Taarab la Zanzibar One Modern Taarab, Saada Nassor, baada ya kuibuka mshindo kwa kuwa Msanii bora wa Kike wa mwaka wa muziki wa Taarab ya Kisasa, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.
 Mwakilishi wa Jimbo la Raha Leo, Salim Nassor, akimkabidhi tuzo ya Msanii Bora Chipukizi wa mwaka, msanii Emma Score, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.
  Mkurugenzi wa redio ya Breeze Fm, bi. Mariam, akimkabidhi Tuzo ya kuwa msanii bora wa Kike wa muziki wa Afro Pop, Msanii Baby J, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika   Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa hafla hiyo. 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal, akiwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wageni na wadau wa sanaa, waliohudhuria hafla hiyo.
Kundi la Taarab la Zanzibar One Modern Taarab, wakitoa burudani jukwaani wakati wa hafla hiyo.
Picha ya pamoja baada ya zoezi la kukabidhi zawadi kwa washindi wa tuzo hizo.
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments: