Monday, July 30, 2012

Fedha Investment yaja na huduma bora kwa wakazi wa jiji la Dar

 Jengo la Fedha Investment linavyoonekana kwa nje.Kampuni hii inajihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii,kama vile,M-Pesa,Tigo Pesa,Airtel Money,kununua Luku,Kulipia DSTV na vitu ningine vingi ikiwa ni sehemu ya kumrahisishiwa mwananchi kupata huduma zote sehemu moja na si kuhangaika sehemu tofauti tofauti.
 Mmoja wa Wateja waliofika Fedha Investment kwa ajili ya kuhudumiwa mahitaji mbali mbali yatolewayo na Fedha Investment.kulia ni Mmoja wa wafanyakazi wa Fedha Investment,aitwae Mariam.
 Huduma zikiendelea.
 Wadau waliokuwepo katika uzinduzi wa Fedha Investment.
 Mama Anna Mkapa alikuwa ni mmoja wa wageni waliohudhulia ufunguzi rasmi wa Fedha Investment,na hapa akiwa na baadhi ya wafanyakazi Fedha Investment.
 Wadau mbali mbali walikuwepo kwenye uzinduzi huo.
 Shampein ikifunguliwa kuashiria ufunguzi rasmi wwa utoaji wa huduma za kijamii.
 Ilikuwa ni furaha kwa kila aliefika katika ufunguzi huo wa kampunu ya Fedha Investment.

1 comment:

Anonymous said...

nimefurahishwa na hili inaonesha ni jinsi gani watu wanavyoweza kudhubutu na kuweza kuanzisha vitu kama huvi na kuweza kutengeneza ajira kwa watanzania,kila la heri fedha investment.