Sunday, June 3, 2012

NAPE ALIVYOTINGISHA SONGEA

 Nape akisalimia wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilayani Songea ambako yalifanywa mapokezi yake.
 Nape akisalimia wananchi alipowasili Uwanja wa Maji Maji Songe kuhutubia mkutano wa hadhara
 Nape akisisitiza jambowakati akihutubia katika Uwanja wa Maji Maj
 Kina mama wakigaragara chini mbele ya Nape (jukwaani) baada ya kuingiwa na hotuba yake
 Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake
 Nape akiondoka Uwanja wa Maji Maji baada ya mkutano
 Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul Nabai ya Masigira baada ya kuomba dua alipowasili mjini Songea
 Nape akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano. Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa kwa sh. milioni 206
  Nape akishiriki kucheza ngoma.
 Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji
 Nape akisaidia kucharaza ngoma Uwanjani

1 comment:

Anonymous said...

Ndiyo, kazi nzuri Kijana wetu. Hongera sana sana Nape