Friday, June 1, 2012

Mnuso wa afDB wafana Ngurdoto Mountain Lodge usiku wa kuamkia leo

 Wadau katika mnuso huo ulioandaliwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa wajumbe wa mkutano wa benki hiyo katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha usiku wa kuamkia leo.
 Baadhi ya waalikwa
 Wageni toka nchi mbalimbali mnusoni
 Mandhari ya mnuso huo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye hafla hiyo, akipokewa na  Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika na Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dkt William Mgina, Rais wa afDB Dkt Donald Kaberuka, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus  Moghae na Rais mstaafu wa benki hio
 Rais Jakaya Kikwete akikaribisha wageni kwenye hafla hiyo
 Wanne Star akitoa burudani
 Kundi la THT linaungana na Wanne Star kutoa burudani
 THT wakiburudisha
 Rais Jakaya Kikwete akiongea na ujumbe wa Zanzibar  waliohudhueria Mkutano Mkuu wa  Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Msumbiji
 Wadau wakiwa mnusoni
 Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa Gavana wa Benki ya Msumbiji na Da' Vicky Msina wa Benki Kuu
 Rais Kikwete akisalimiana na waalikwa
 Rais Kikwete akipozi na mtoto wa mmoja wa waalikwa
 Rais Kikwete akisalimiana kwa furaha na vijana wa Arusha 
 Rais Kikwete akisalimiana na wadau
 Rais Kikwete akisalimiana na mweka hazina wa Tourism Federation of Tanzania  (TFT) Bi Zamzam Mtanda

 Vijana wa Arusha wakifurahi na JK
 Rais Kikwete na baadhi ya maafisa wa taasisi mbalimbali
 Babu Njenje na Nyota Waziri  wa The Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' wakitumbuiza 
 wadau kwenye mnuso
 Njenje wakitoa burudani
 Ankal Waziri Ally akifanya vitu vyake
 Wana Njenje jukwaani
 Wadau wakiduarika na Njenje
 Wageni wakicheza midundo ya Njenje
 Ankal akila konozzzzz na wadau
 Meza ya wadau 
 Njenje
 Kepy wa Njenje (kulia) na Charles Baina Kamkuru wa Clouds FM Arusha wakiwa na Kemmy
 Mnuso umekolea
 Njenje ndani ya nyumba
Wadau wakifurahia mnuso

1 comment:

Anonymous said...

Rais hoyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!