Saturday, June 9, 2012

MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO


 Vuvuzelaaaaaaaa........
 Dkt Harrison Mwakyembe akihutubia
 Dkt John Pombe Magufuli akimwaga mistari kwa data za uhakika
 Waandishi wakirekodi mambo
 Swedi Mwinyi (kulia) na wenzake wakihadithia mambo
 Ohoooooo.....
 Sehemu ya kadi zilizorejeshwa...
 Nape Nnauye akipiga bezi na Vijana Orchestra

 Chege akifanya mambo
 Nape Nnauye ahemewa na umati
 Wengi walifika
 Nyomi
 Ujumbe mahususi
 Jangwani hapatoshi.....
 Mambo ya CCM
 Nape Nnauye akiongea wakati Mzee Kinana akijiandaa
 Toka TMK
 Ujumbe maridhawa
 Wa Ilala hawa
 Soma mwenyewe
 Saa tano asubuhi, mkutano saa kumi...
 Umati
 CCM Oye!
 Mzee Steven Wassira akiongea
 Maandalizi ya sound ya uhakika
Prof. Anna Tibaijuka akitoa salaam..

No comments: