Tuesday, June 19, 2012

Matukio mbalimbali baada ya majaji 10 wa mahakama kuu kuapishwa leo

 Rais Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakipozi na Jaji Jacob Mwambegele pamoja na wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi  akiwa kiama Msaidizi wa Katibu wa Baraza la Mawaziri (CABINET UNDER SECRETARY), Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge.
Nafasi yake sasa imejazwa leo na Bw. Stephen N. Kagaigai
 Rais Kikwete akijichanganya na wadau wa Mahakama Kuu baada ya kuapisha majaji



 Majaji wapya wa Mahakama Kuu wakila pozi na wadau
 Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu. Toka shoto ni Jaji Patricia Saleh Fikirini, Jaji Joaquine Antoinette De-Mello na Jaji Latifa Mansoor
 Jaji Joaquine Antoinette De-Mellona nduguze


 Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akimpongeza Jaji Francis Mutungi
 Shada la Maua kwa Jaji Mutungi





















No comments: