Thursday, May 31, 2012

Prof. Kuzilwa atembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili


DSC04890
Juu na Chini ni: Jengo la Taasisi ya Huduma za Moyo na Mafunzo inayotegemewa kufunguliwa wakati
wowote kuanzia sasa
DSC04869

DSC04872
Prof. Kuzilwa akisalimiana na Daktari Bingwa Magonjwa ya Moyo Dkt. Robert Mvungi
DSC04876
Dkt. Mvungi akitoa maelezo juu ya matumizi ya mashine aina ya DSA kwa Prof. Kuzilwa ambayo
imefungwa ndani ya jengo la huduma za upasuaji  wa moyo na mfunzo
DSC04880
Mojawapo ya vyumba vya kutolea huduma katika jengo hilo
DSC04881
DSC04884
DSC04883
DSC04885
DSC04785
Kulia ni Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu za Wagonjwa akitoa maelezo kwa Prof. Kuzilwa
DSC04764
DSC04807
Prof. Kuzilwa akipata maelezo katika idara ya mazoezi ya viungo
DSC04815
DSC04819
Dkt. Frank Masao, Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Afya ya Akili akitoa ufafanuzi juu ya huduma
 zinazotolewa na idara hiyo kwa Prof. Kuzilwa
DSC04823
DSC04829
DSC04830
DSC04832
DSC04838
Prof. Kuzilwa akiwa ICU
DSC04840
DSC04847
Mkuu wa Kitengo cha ufuaji nguo za wagonjwa Sr. Lina Kinabo akifafanua jambo
DSC04850
Akifafanua kuhusu uchambuzi wa nguo zinazotoka wodini kuingana na hali yake
DSC04852
DSC04854
DSC04858
DSC04860
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Gabriel Upunda akifafanua jambo
DSC04864
Mitambo ya kutengeneza steam inayowasha mashine za kufulia na kupika chakula cha wagonjwa
DSC04867
Eng. Gaudence Aksante akifafanua jambo

No comments: