Friday, May 11, 2012

mnuso wa nguvu wa kumuaga binti wa mdau wa globu ya jamii

 Naseem (shoto) akiwa na mpambe wake kwenye mnuso huo
 Naseem akimlisha keki mpambe wake
 shukurani kwa wazazi
 Naseem akimvisha zawadi ya mkufu wa dhahabu Mama Mzazi aliozawadiwa Mama Maez na Mumewe kwa uvumulivu wa miaka 6  ! Naseem alizaliwa wakati Babiye Maez akipiga Nondozzz nchini Urusi ( 1986-92)
 Mama Maz akimpongeza mmumewe kwa kumzawadia
 Naseem akitambulisha wazaa chema
 Naseem na mpambe wake wakienda kupata maakuli na Bwana harusi Mtarajiwa  Jumaa
Watarajiwa katika maakuli

No comments: