Friday, May 25, 2012

Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilimanjaro iitwayo 100% TZ Flava @ Nyumbani Lounge Jijini Dar

 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya  100% Tanzania Flava iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba na Yanga ikiwa ni sehemu ya  kampeni mpya ya Bia hiyo inayokwenda kwa jina la 100% Tanzania Flava  ikiwakilisha Michezo yetu ambayo imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam..
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki Prof. Jay na Janet wa Twanga Pepeta ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Muziki wetu.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wacheza filamu,Jacob Steven na Aunt Ezekiel ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Filamu zetu.
 MC Ephrahim Kibonde akiongoza shughuli hiyo.
 DJ Peter Moe nae katika safu yake aliinogesha vyema hafla hiyo.
 Mazungumzo ya hapa na pale,Kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe,Mkurugenzi wa  Kiota cha Nyumbani Lounge,G. Habash na Dj Bonventure Kilosa.
 Meneja wa Bia ya Castle Lager,Kabula Nshimo pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro pia walikuwepo kwenye hafla hiyo.
 Wadau wa TBL. 

No comments: